Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc mkoa wa Kilimanjaro, Sifa Msuha (kulia), akizungumza na madereva bodaboda, wakazi wa Marangu Mtoni katika Manispaa ya Moshi vijijini, Mkoani Kilimanjaro, wakati wa kampeni ya maadhimisho ya miaka 25 ya Vodacom Tanzania PLC toka ilipoanzishwa. Kampeni hii ya kitaifa inajumuisha kampuni hiyo kuwatembelea wateja wake katika maeneo mbalimbali nchini ili kuzungumza nao kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo. Tukio hili lilitokea tarehe 24 Juni.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI ZA BIASHARA
HABARI ZA KIJAMII
Miaka 25 ya Vodacom: Kuadhimisha Uunganishwaji Kidijitali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: