Mshindi wa wiki ya saba ya kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi’ Elias Nakara (Kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Kampuni hiyo, George Venanty (kulia), katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha jana. Endelea kufanya miamala kwa kutumia M-pesa Super App au piga *150*00# pamoja na kununua vifurushi ili kujiongezea nafasi ya kushinda.
Meneja mauzo wa Mkoa wa Arusha, Vodacom Tanzania Plc Fredrick Laini (Kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa droo ya saba ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi Sia Hulbert (Kushoto) katika hafla iliyofanyika dukani hapo jana. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala na kununua vifurushi kwa kutumia M-Pesa super App. Ni balaa.

Ni Balaa! mshindi wa droo ya saba ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Bi Cecilia Sambu (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa meneja wa duka la Vodacom Arusha Zeenath Mwindi (kulia) katika hafla iliyofanyika kwenye dukani hapo jana. Ikiwa ni mwendelezo wa kampeni hiyo, ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala na M-Pesa super App au nunua vifurushi kwa kupiga *150*00#.

Meneja masoko kanda ya Kaskazini wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Sarah Mtawa (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa droo ya saba ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi Bw. Fred Lukumay (kulia) katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha jana. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala kwa kutumia M-Pesa super App au kununua vifurushi kwa kupiga *150*00#
Ni Balaa! mshindi wa droo ya saba ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Bi Jane Shirima(kushoto), akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Msimamizi wa maduka ya rejareja wa kanda ya kaskazini Irene Mwinyi (kulia) katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha jana. Kupitia kampeni hii wateja wa Vodacom wanajiongezea nafasi za kushinda kila wakinunua vifurushi au kufanya miamala kupitia M-pesa Super App.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: