Na Mwandishi Wetu, Manyara.

Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho ya 3 ya Biashara, Viwanda, Madini na Kilimo ya Tanzanite Premium Vodka yatakayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Stedium Octoba 20-30 mwaka 2024 mjini Babati Mkoani Manyara.
Kwa Upande Wake Afisa Masoko Kampuni ya Mati Super Brands Limited, Gwandumi Mpoma amesema kuwa kampuni hiyo imeamua kudhamini maonesho hayo ili kuunga mkono jamii ikiwemo wajasiriamali wadogo na wakati kupata fursa ya kujitangaza kupitia maonesho hayo.

Kauli mbiu ya maonesho hayo ni "Manyara kwa ustawi wa biashara na uwekezaji "
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: