Wajumbe wa Kamati ya Uendeshaji na Teknolojia pamoja na Kamati ya Sera na Kanuni wakiwa katika mijadala wakati wa vikao vya Kamati za wataalam vinavyoendelea Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Jijini Arusha.

Wajumbe hao kutoka Kamati mbili tofauti wamejadili masuala mbalimbali ya Uendeshaji ikiwemo namna teknolojia inavyoweza kutumika kuwezesha huduma za posta kwa wananchi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: