RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, alipowasili katika viwanja vya Jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ajili ya hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap, Jengo jipya la Terminal 3 leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo Jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap,Jengo la Terminal 3 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakitembelea Jengo Jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap, Jengo la Terminal 3, uzinduzi huo uliyofanyika leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Bw. Javed Jafferji, wakati wakitembelea Duka lake la Recycle Zanzibar katika jengo la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,wakati wa hafla ya Ufunguzi wa huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika jengo jipya la Terminal 3 leo 26-1-2023.(kulia kwa Mama Mariam Mwinyi) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Bi.Kulsum Jafferji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, uzinduzi huo uliofanyika leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya Uzindua Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo la jipya la Termanal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo 26-1-2023
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar ya wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, uliofanyika leo
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi maalum na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023
Toa Maoni Yako:
0 comments: