Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Mhe.Ibrahim Ngwada pichani akikabidhiwa cheti cha ushindi wa pili katika mashindano ya Taifa ya afya na usafi wa mazingira 2022, kundi la Halmashauri za Manispaa Tanzania bara.
Hii ndio tuzo waliyopewa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.
Viongozi mbalimbali kutoka Mkoa wa Iringa wakionyesha tuzo walizopata za usafi wa Mazingira na afya.

Na Fredy Mgunda, Iringa.

MANISPAA ya Iringa imepata zawadi ya cheti na fedha kiasi cha shilingi milioni kumi (10,000,000) Ikiongozwa na mshindi wa kwanza Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ambao wamejipatia cheti na fedha shilingi milioni 15 na mshindi wa tatu ni Halmashauri ya Manispaa ya Moshi amboyo imepsta cheti na sh milioni tano.

Tukio hilo la ugawaji wa vyeti na zawadi lilifanywa na Mgeni rasmi Naibu katibu Mkuu wizara ya Afya Dkt.Seif Shekalaghe

Novemba 19, 2022 Katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwenye kilele cha wiki ya usafi kitaifa na maadhimisho ya siku ya choo Duniani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: