Rais wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune Charumbira akiongoza Kikao cha Kamati ya uongozi ya Bunge la Afrika ‘The Pan African Parliament Bureau’ na Mabalozi ‘Ambassadors’ wanaowakilisha mataifa mbalimbali barani Afrika katika nchi ya Afrika Kusini kujadili masuala kadha wa kadha kuhusu bara la 
Akizungumza katika hicho kilichofanyika leo Alhamisi Oktoba 27,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Johannesburg Afrika Kusini, Mhe. Chief Fortune Charumbira amewapongeza Mabalozi wa Afrika waliopo nchini Afrika Kusini kwa kuthibitisha dhamira yao ya kufanya kazi na PAP huku akibainisha kuwa ushirikiano huo utahakikisha ushiriki kamili wa watu wa Afrika katika maendeleo ya kiuchumi na utangamano wa bara la Afrika.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Chief Fortune Charumbira akiongoza Kikao cha Kamati ya uongozi ya Bunge la Afrika na Mabalozi wanaowakilisha mataifa mbalimbali barani Afrika katika nchi ya Afrika Kusini

Sehemu ya Mabalozi wakiwa katika Kikao cha Kamati ya uongozi ya Bunge la Afrika na Mabalozi wanaowakilisha mataifa mbalimbali barani Afrika katika nchi ya Afrika Kusini.

Picha na Kadama Malunde - Johannesburg Afrika Kusini

sanctions against countries like Eritrea, Ethiopia, and Zimbabwe. Africa should come up with a mechanism against these sanctions. In doing so, we will be promoting regional cohesion and preserving peace,” Ambassador Abdu said.

In promoting public dialogue on the continent’s development, there is a need to take on board government structures distinct from the Euro-centric approach. He said a number of institutions should be restructured to be self-reliant from charity, loans, and debt. Ties between nations will be strengthened through re-engagement in dialogue so as to promote Africa’s growth and economic development as well as to foster unity, solidarity, cohesion, and collaboration.

HE Ahmed Taher El Fadly, Leader of the Technical Team tasked with strengthening collaboration between the PAP and the Diplomatic Corps, said there is a need to move from mere rhetoric to action by putting in place concrete structures to strengthen the mutually beneficial relationship between the two entities.

“During the last meeting of the African Group of African Ambassadors comprising representatives from Zimbabwe, Kenya, Mali, Uganda, and Congo Brazaville, we discussed the need for PAP to create synergies with various stakeholders in order to expedite the Malabo Protocol,” he said.

He urged the PAP to be fully representative of African people. Currently, the PAP has 270 members from the 55 AU member states hence the need for proportional representation characterised by the robust exchange of views as well as shared working methods, and solutions to current challenges.

Hon Chief CCharumbira invited African Ambassadors to help the PAP in fulfilling its mandate. These key functions, as espoused in Rule 4(1) of the PAP Rules of Procedure are, among others, to:

  • Facilitate the implementation of the policies, objectives and programmes of the Union and oversee their effective implementation by various organs of the Union
  • Promote human and people’s rights, consolidate democratic institutions and the democratic culture, good governance, transparency and the rule of law by all organs of the Union, RECs and Member States
  • Participate in creating awareness among the peoples of Africa on:
  1. The objectives, policies, aims and programmes of the Union
  2. The strengthening of continental solidarity, cooperation and development
  • The promotion of peace, security and stability on the African continent; and,
  1. The necessity for the pursuit of a common economic recovery strategy
  • Contribute to the harmonization and coordination of the legislative texts of Member States in accordance with Article 11(3) of the Protocol
  • Promote the coordination of the policies, measures, programmes and activities of RECs and other legislative bodies
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: