RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Picha Maalum Iliyotengenezwa na Vijana wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, akikabidhiwa na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na (kulia kwa Waziri) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kumpongea Kijana Neema Suri akitowa burudani ya muziki wa Alam (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022 na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
WAZIRI Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022, kabla ya kumkaribia mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia katika hafla hiyo.(Picha na Ikulu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: