Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo mara baada ya kuwasili katika Jiji la Kinshasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo mara baada ya kuwasili Kinshasa nchini DRC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo mara baada ya mazungumzo yao katika Jiji la Kinshasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Jean-Michel Sama Lukonde Kyenge mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa N’Dijili Kinshasa nchini DRC kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa SADC utakaofanyika tarehe 17 Agosti, 2022 nchini humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa N’Dijili Kinshasa nchini DRC kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa SADC utakaofanyika tarehe 17 Agosti, 2022 nchini humo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: