Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Bajeti baada ya kufungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akifungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU Institute of Public Accountability, Ndg. Ludovick Utouh akitoa neno la ukaribisho wakati wa mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU Institute of Public Accountability, Ndg. Ludovick Utouh kabla ya kufungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: