MBUNGE wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham kulia akigawa kadi za bima ya afya
MBUNGE wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham kulia akigawa kadi za bima ya afya |
MBUNGE
wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham kulia
akigawa kadi za bima ya afya kwa watoto yatima wanaoishi kwenye
mazingira magumu 74wanaolelewa katika kituo cha Ukwama wilayani humo.
MBUNGE wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham
kulia akigawa kadi za bima ya afya kwa watoto yatima wanaoishi kwenye
mazingira magumu 74wanaolelewa katika kituo cha Ukwama wilayani humo.
MBUNGE
wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham akiwa
amembeba mmoja ya watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho
MBUNGE wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham
akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto yatima wanaoishi kwenye
mazingira magumu 74wanaolelewa katika kituo cha Ukwama wilayani humo mara baada ya kuwakabidhi kadi za bima ya afya.
MBUNGE
wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham kushoto
akiteta jambo na mmoja wa wazee mara baada ya kugawa kadi za bima ya
afya kwa watoto yatima wanaoishi kwenye
mazingira magumu 74wanaolelewa katika kituo cha Ukwama wilayani humo.
MBUNGE wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham
akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto yatima wanaoishi kwenye
mazingira magumu 74wanaolelewa katika kituo cha Ukwama wilayani humo mara baada ya kuwakabidhi kadi za bima ya afya.
MBUNGE wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham akiomba dua na watoto hao
MBUNGE
wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham katika
akiteta na Katibu wake Thomas Machupa kushoto mara baada ya kuwakabidhi
kadi za bima ya Afya watoto yatima wanaoishi kwenye
mazingira magumu 74wanaolelewa katika kituo cha Ukwama wilayani humo
mara baada ya kuwakabidhi kadi za bima ya afya.
MBUNGE
wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham kulia
akionyeshwa kitu na Katibu wake Thomas Machupa kushoto.
MBUNGE wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe. Salim Alaudin Hasham amewakatia
bima za Afya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu 74
wanaolelewa katika kituo cha Ukwama wilayani humo.
Akizungumza
baada ya kugawa bima hizo Mhe Salim Alaudin ambaye pia ndie mlezi wa
kituo hicho amesema lengo kubwa la kufanya zoezi hilo ni kuwahakikishia
uhakika wa kupata matibabu kwa haraka bila Changamoto zozote ili
kuwapunguzia mzigo Mkubwa wasimamizi wa kituo hicho.
Mbali
na kuwakatia bima za Afya pia Mhe Salim Alaudin amefanya marekebisho ya
Jengo wanaloishi watoto hao na kuwajengea vyoo bora ili mazingira yawe
salama zaidi nanyakuvutia na watoto hao wasijisikie upweke kwa kipindi
chote watakachoishi hapo.
Aidha
Mhe Salim Alaudin ameongeza kuwa ukarabati wote huo utagharimu kiasi
cha Shilingi Milioni 15.5 na fedha zote hizo zinatoka mfukoni mwake pia
ataendelea kukisimamia kituo hicho ili kuhakikisha usalama na mazingira
bora yanapatikana kwa watoto hao.
Kwa
upande wake Msimamizi wa kituo hicho Bi. Redepta Choma amemshukuru
Mbunge Salim Alaudin kwa moyo wake wa kujitoa kukisaidia kituo kwani ni
watu wachache wanaoweza kufanya hivyo na amemuomba asichoke kuwasaidia
na Mungu atambariki.
Redepta
pia ameongeza kuwa zipo changamoto nyingi zilizokuwa zinawakabili awali
ikiwemo huduma za Afya lakini kwasasa mlezi wao amejitahidi kuzipunguza
kwa kiasi kikubwa.
Mama
mlezi wa kituo hicho Bibi Elizabeth Choma amesema anamshukuru Mungu kwa
kumleta Baba mlezi wao kwani walikuwa na hali mbaya lakini kwasasa Baba
mlezi anawapambania na wanaona baadhi ya Changamoto Sinai soka taratibu.
Kituo
hicho cha kulea watoto yatima na wenye mahitaji maalum UKWAMA
kilianzishwa mwaka 1976 na kanisa katoliki kwa lengo la kuwasaidia
wahitaji hususani watoto.
Toa Maoni Yako:
0 comments: