Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Balozi Liberata Mulamula (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Timu ya Usimamizi wa Benki ya Standard Chartered mara baada ya kumaliza kikao kazi. Kutoka kulia ni Afisa Mkuu wa Fedha, Rayson Foya, Mhe. Liberata Mulamula, Afisa Mtendaji Mkuu, Sanjay Rughani. Kutoka kushoto, Mkuu wa Kitengo cha Biashara, Biashara na Masoko, Desideria Mwegelo, Mkuu wa Kitengo cha Wateja, Biashara na Kitaasisi, Jerry Agyeman-Boateng.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: