Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mke wake Mama Janeth Magufuli, Mawaziri, viongozi wa mkoa wa Katavi pamoja na Wabunge, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge km 35 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la majalila Wilayani Tanganyika mkoani Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera mara baada ya kuzindua ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge km 35 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la majalila Wilayani Tanganyika mkoani Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge km 35 katika eneo la majalila Wilayani Tanganyika mkoani Katavi. PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments: