Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisaini katika kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Salasala kwa ajili ya kutoa pole kwa Familia Julai 30,2019. Pembeni ni Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni kaka wa marehemu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu mara baada ya kutoa pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiomba dua maalumu na Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kuomba dua maalumu na Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alipowatembelea nyumbani kwao Salasala Dsm kwaajili ya kutoa pole kufuatia msiba huo. Julai 30,2019. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na Waombolezaji wengine akiwa ameambatana na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa pole kufuatia msiba huo nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa pole kufuatia msiba huo nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: