Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020 bungeni jijini Dodoma leo Mei 28, 2019.
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu akisistiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa wananchi wote wanafikiwa na huduma ya umeme .
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Dastan Kitandula akiwasilisha maoni ya Kamati hiyo leo Bungeni mara bada ya kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020 Leo Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani Bungeni jijini Dodoma Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiteta na Naibu wa Waziri wake, Subira Mgalu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) .
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akielekea kutoa hotuba yake ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Elimu ,Sayansi, Tekinolojina na Ufundi, Profesa, Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akisalimiana na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mbunge wa Muleba Kusini Mhe. Charles Mwijage akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2019/2020 leo Bungeni Jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakuu wa Taasisi, Wenyeviti wa Bodi , Watendaji na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo wakifuatilia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020 Leo Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. Hamis Mwinyimvua akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Amos Maganga nje ya viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakuu wa Taasisi, Wenyeviti wa Bodi , Watendaji na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo wakifuatilia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020 Leo Bungeni Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments: