Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na viongozi wengine wakiwa wamejiunga na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019.Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na viongozi wengine wakiwa wamejiunga na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Fgarib Bilal pamoja na viongozi wengine wakiwa wamejiunga na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Jukwaa la fawakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019.
Maafisa waandamizi wa IPP Limited na waombolezaji wengine
Mahubiri
Mahubiri
Viongozi mbalimbali na waombolezaji
Viongozi mbalimbali na waombolezaji




Viongozi mbalimbali na waombolezaji
Balozi Juma Mapachu akisoma wasifu wa marehemu wakati wa kuuaga mwikli wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea machache wakati wa kuuaga mwikli wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na viongozi wengine wakiwa wamejiunga na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Waombolezaji wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Waombolezaji wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Waombolezaji wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Paramagamba Kabudi akitoa salamu za serikali wakati wa kuuaga mwikli wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Jukwaa la fawakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Mkurugenzi wa Radio One Deo Rweyunga ndiye aliyekuwa MC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwili kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwili kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa karibu wa marehemu wakati alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mtoto wa Marehemu Bw. Abdiel Mengi wakati alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa shemeji wa marehemu Bi. Shimimana Ntuyabaliwe wakati alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mjane wa marehemu Bi. Jacquiline Mengi wakati alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa watoto mapacha wa marehemu wakati alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa binti wa marehemu Bi. Regina Mengi wakati alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa watoto mapacha wa marehemu wakati alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa Mama Rose Mwapachu wakati akiaga baada ya kuongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka baada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019
Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: