Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi- CCM, Dkt. Bashiru Ally, akieleza umuhimu wa elimu katika maendeleo ya jamii, wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Mtoto Summaiya Juma, akionesha uwezo wake wa kuhifadhi Qur'an katika mashindano yaliyofanyika Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi- CCM Dkt. Bashiru Ally (katikati), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Shaaban (kushoto) na baadhi ya wadau wakifuatilia mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akimkabidhi zawadi Mtoto Summayya Juma, aliyeshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, Mzee Abdalah Kijaji (katikati) na baadhi ya viongozi wa Dini Wilayani Kondoa wakifuatilia mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) na Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, wakizungumza jambo wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa dodoma Mustafa Shaaban, akieleza umuhimu wa elimu ya Dini katika kuleta umoja wa kitaifa, wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, akimpongeza Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kulia), kwa jitihada za kuhamasisha elimu Jimboni kwake, wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma wakishuhudia mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma wakishuhudia mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: