Waziri katika ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Suleiman Jaffo Mgeni Rasmi kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani ambapo kilele itakuwa kesho Machi 20, 2019, katika viwanja vya shule ya msingi Meru (PICHA NA KHAMISI MUSSA).
Daktari wa Chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno ,MUHAS Muhimbili Dar es Salaam, Dkt. Kasusu Nyamuryekung'e akiwaonesha mfano wa meno bandia ya kufundishia wanafunzi wa shule za Msingi Uhuru na Makumbusho Arusha wakati wa kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani ambapo kilele itakuwa kesho Machi 20, 2019, katika viwanja vya shule ya msingi Meru, Mgeni Rasmi niWaziri katika ofisi ya Rais TAMISEMI Mh Suleiman Jaffo.
Daktari wa Chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno, Manispaa ya Ubungo Dar es Salaam, Dkt. Iddi Khery akiwafundisha wanafunzi wenye mahitaji maalum wa shule ya msingi Patandu,wilayani Arumeru Arusha jinsi ya kutunza usafi wa kinywa na meno wakati wa kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani keso Machi 20, 2019, katika viwanja vya shule ya msingi Meru, Mgeni Rasmi niWaziri katika ofisi ya Rais TAMISEMI Mh Suleiman Jaffo.
Wananchi wakisubiri kupatiwa huduma inyotelewa na Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno katika viwanja vya Shule ya Msingi Meru Arusha Arusha wakati wa kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani ambapo kilele itakuwa kesho Machi 20, 2019, katika viwanja vya shule ya msingi Meru, Mgeni Rasmi niWaziri katika ofisi ya Rais TAMISEMI Mh Suleiman Jaffo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: