Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mkate wa Sakramenti Takatifu kutoka kwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa ameongozana na mkewe Mama Janeth Magufuli, akila Mkate wa Sakramenti aliopokea toka kwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumatano ya Majivu katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2019
Sehemu ya waumini katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam wakiwa katika Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa ameongozana na mkewe Mama Janeth Magufuli, akiaga waumini wenzie katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha baada ya kuhudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa ameongozana na mkewe Mama Janeth Magufuli, akiagana na Padri Joseph Matumaini nje ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha baada ya kuhudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: