Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake ambao ni wadau wa Maendeleo kutoka Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya tukio lililofanyika leo tarehe 4 februari, 2019 nje ya viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake ambao ni wadau wa Maendeleo kutoka Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya tukio lililofanyika leo tarehe 4 februari, 2019 nje ya viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake ambao ni wadau wa Maendeleo kutoka Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya tukio lililofanyika leo tarehe 4 februari, 2019 nje ya viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Kushoto kwa Naibu Spika, Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga na kulia kwa Naibu Spika ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa


Toa Maoni Yako:
0 comments: