Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza ambaye amemtembelea nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha leo Jumamosi Oktoba 13, 2018
Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akimsikiliza Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza akimtambulisha wajumbe alioongozana nao nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha.
Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akimsikiliza Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza akimtambulisha wajumbe alioongozana nao nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha.
Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya kigoda maalumu cha kuwekea Kurani Tukufu kutoka kwa Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza ambaye amemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha akiwa ujumbe wake. Wengine kutoka kushoto ni Kamishna Mkuu wa chama hicho Mhe. Abdulkarim Shah, Mjumbe wa Bodi ya Skauti Kennedy Ndosi, Kamishna Mtendaji wa chama hicho Eline Kitaly na Mjumbe wa Bodi ya Skauti Omar Ilyas.
Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza ambaye amemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha akiwa ujumbe wake. Wengine ni Kamishna Mkuu wa chama hicho Mhe. Abdulkarim Shah, Mjumbe wa Bodi ya Skauti Kennedy Ndosi, Kamishna Mtendaji wa chama hicho Eline Kitaly na Mjumbe wa Bodi ya Skauti Omar Ilyas.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: