Ulikuwa unapoingia tu katika Maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2018 unapokelewa na Burudani mbalimbali yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
 Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa (aliyevaa suti ya Blue) akiwa katika banda la Maliasili na Utalii wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2018, yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
 Baadhi ya wadau mbalimbali wa Utalii wakiwa katika maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2018, yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
 Wadau wa Utalii wakimsikiliza Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake  wakati wa ufunguzi wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE), yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
 Wadau mbalimbali wa Utalii wakiwa wanatembelea mabanda na kujifunza mengi kuhusiana na Utalii
 Hili ni Banda la la Kamisheni ya Utalii Zanzibar
  Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2018  ni maonesho makubwa ya maswala ya Utalii hapa wageni mbalimbali wakiwa weamefika kushuhudia na kupata maelezo kuhusiana na Utalii nchini Tanzania yaliyoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
Hapa ni banda la Mdhamini mkuu wa  Maonesho ya wahili International Tourism Expo (S!TE) 2018 yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
 Burudani ya nguvu iliyotolewa na kikundi cha ngoma cha Wane Star baada ya maoesho katika viwanja vya Bustani Serena
 Katika siku ya pili ya maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2018 wadau mbalimbali wa utalii wakiwepo watoa huduma za utalii na wanunuzi pomoja na wengine walipata nafasi ya kukutana na kubadilishana uzoefu pia kuona ni namna gani wanaweza kufanya biashara pamoja , yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
 Katika maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2018 pia watu mbalimbali walikuwa wakipata burudani kama wanavyo onekana
 Hili lilikuwa ni banda mahususi kwa ajili ya Wizara ya Maliasili na Utalii, wadau wakiwa hapa waliweza kupata maelezo ya kina kuhusiana na Utalii wa ndani na elimu kadha wa kadha kuhusiana na utalii maonesho yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
 Ndani ya ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere kila aina ya huduma zilikuwepo
 Burudani ya Ngoma za asili ilikuwepo pia
 Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Mh. Mahmoud Kombo (Aliyevaa koti la Blue) alipotembelea maonesho ya Maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2018 yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
Maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2018 yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) katika siku ya tatu watu wanaendela kupata taarifa mbalimbali za Utalii
  Ndani  ya Maonesho ya wahili International Tourism Expo (S!TE) 2018yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), kikundi hiki cha ngoma wao waliamua waende mpaka ndani kutoa burudani na walizunguka katika mabanda yote.
 Kwa makini zaidi kila ulipoenda kutembelewa haukukosa kuhudumiwa vizuri mpaka kutamani kurejea tena kuuliza maswali tena na tena.
 Pongezi sana kwa Mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori TAWA kwa kumleta mnyama halisi aliyekaushwa.
 Ndani ya Maonesho ya wahili International Tourism Expo (S!TE) 2018 yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kulikuwa na banda hili ambalo lengo kubwa ilikuwa ni kutangaza Utalii wa Kusini hapa watu walikutana na mambo mengi mapya.
  Kwa waliokuja upande huu wakati wa Maonesho ya wahili International Tourism Expo (S!TE) 2018 yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), walipata
kuona mengi kuhusiana na Zanzibar.
 Na kwa waliobahatika kwenda katika mgahawa wa Chuo cha Utalii walikutana na nyama choma iliyochomwa kistadi yote haya yalikuwa katika Maonesho yawahili International Tourism Expo (S!TE) 2018 yaliyo andaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB),
Karibu Tanzania , #unforgetabletanzania Maonesho hay yatawajia tena Mwakani mwezi kama huu. (Picha zote na Fredy Njeje) 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: