Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Mhe. Jaji Sylvain Ore muda mfupi kabla ya kuapishwa kwa Majaji wapya nwatatu wa mahakama hiyo mjini Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya kuapishwa kwa majaji wapya watatu wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu mjini Arusha.
Majaji watatu wapya wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu wakiwa wameketi pamoja muda mfupi kabla ya kuapishwa, kutoka kushoto ni Mhe. Jaji Blaise Tchikaye (Congo), Mhe. Jaji Stella Isibhakhonem Anukam (Nigeria) na Mhe. Jaji Imani Aboud (Tanzania). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Mhe. Jaji Sylvain Ore mara baada ya kuapishwa kwa Majaji wapya watatu wa mahakama hiyo mjini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha mpya na Majaji wateule wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ambao wameapishwa leo mjini Arusha kushoto ni Mhe.Jaji Blaise Tchikaye (Congo), Mhe. Jaji Imani Aboud (Tanzania) na kulia ni Mhe. Jaji Stella Isibhakhonem Anukam (Nigeria). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: