Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga katika ukumbi wa Submarine Hotel Mjini Kahama - Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akifunga mafunzo ya Wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga. Pichani ni wakunga 20,waliowakilisha wakunga 100 waliopatiwa mafunzo hayo kwa kipindi cha wiki tano.
Wakunga wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack.
Mganga Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Dkt. Rashid Mfaume akizungumza wakati mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akifunga mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga. Kushoto ni Mwakilishi wa Mkuu wa wilaya ya Kahama Said Yasin,kulia ni Katibu wa Chama cha Wakunga nchini, Dkt. Sebalda Leshabari.
Mratibu wa mradi wa Mkunga Okoa Maisha nchini Tanzania, Martha Rimoy akielezea malengo ya mafunzo kwa wakunga 100 waliyoyatoa kwa muda wa wiki 5.
Mwakilishi wa Chama Cha Wakunga wa Canada (CAM, Deborah Bonser akizungumza wakati mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akifunga mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga.
Mwakilishi wa Chama Cha Wakunga wa Canada (CAM, Deborah Bonser akiiomba serikali kuendelea kushirikiana na wakunga ili kumaliza changamoto ya vifo na mtoto.
Wakunga wakiwa ukumbini.
Meza kuu
Mkunga kutoka Chama Cha Wakunga wa Canada (CAM, Patrice Latka akizungumza wakati mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akifunga mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga.
Mkunga kutoka Chama Cha Wakunga wa Canada (CAM, Jasmin Tecson akizungumza wakati mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akifunga mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga.
Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, (TNMC) Agnes Mtawa akiwataka wakunga kuzingatia maadili ya kazi yao.
Mkurugenzi wa Shirika la Cuso International Romanus Mtung'e akizungumza wakati mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akifunga mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga.
Zoezi la kufunga mafunzo likiendelea
Katibu wa Chama cha Wakunga nchini, Dkt. Sebalda Leshabari akizungumza wakati mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akifunga mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga.
Mwakilishi wa Mkuu wa wilaya ya Kahama Said Yasin akizungumza wakati mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akifunga mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule akizungumza wakati mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akifunga mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga.
Mkunga Innocent Rwiza akisoma risala ya washiriki wa mafunzo hayo.
Wakunga wakifuatilia matukio ukumbini
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akimkabidhi mkunga cheti cha ushiriki wa mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga yaliyofanyika katika ukumbi wa Submarine Hotel Mjini Kahama
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akimkabidhi mkunga cheti cha ushiriki wa mafunzo ya wakunga 100 mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga
Zoezi la kukabidhi vyeti likiendelea.
Mkunga akishikana mkono na Katibu wa Chama cha Wakunga nchini, Dkt. Sebalda Leshabari
Picha ya pamoja mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack na washiriki wa mafunzo hayo
Picha ya pamoja mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack na washiriki wa mafunzo hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: