Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa , Aika Benson akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika banada la NHC
Afisa Masoko , Wistone Sanga, akitoa maelezo kwa mteja aliyefika katika banda la shirika hilokwenye viwanja vya Maonyesho Sabasaba.
Banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC Kama linavyoonekana kwa nje katika Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba.
Toa Maoni Yako:
0 comments: