Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk leo Januari 29,2024 wametembelea maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Sheria kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. Maonesho ya Wiki ya Sheria yalianza Januari 24, 2024 na yamataraji kufikia tamati Januari 30,2024.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume,Mhe. Jaji wa Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk leo Januari 29,2024 wametembelea maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Sheria kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. Maonesho ya Wiki ya Sheria yalianza Januari 24, 2024 na yamataraji kufikia tamati Januari 30,2024.

Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk leo Januari 29,2024 wametembelea maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Sheria kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. Maonesho ya Wiki ya Sheria yalianza Januari 24, 2024 na yamataraji kufikia tamati Januari 30, 2024.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiwa katika picha ya pamoja. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe.Jaji wa Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk. Wengine waliokaa kutoka kushoto ni Mhe. Jaji Asina Omari, Mhe Balozi Omar Ramadhani Mapuri. Waliosimama kutoka kushoto ni Mhe. Jaji wa Rufaa Mwanaisha Kwariko, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar na Mhe. Magdalena Rwebangira.
Toa Maoni Yako:
0 comments: