Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga kura ya kuchangua Naibu Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Februari 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu akiwaomba wabunge wamchague kuwa Naibu Spika, Bungeni jijini Dodoma, Februari 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka katika sanduku kura ya kumchagua Naibu Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Februari 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani, bungeni jijini Dodoma, Februari 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments: