Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Bi Kate Somvongsiri akisoma hotuba yake kwenye Maonesho ya zana za Kidigitali ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Bi. Anna Henga, akitoa mada kwenye Maonesho ya zana za Kidigitali ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.ambapo ameahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii Jambo ambalo litapelekea kuwepo kwa matokeo chanya.Mkuu wa Kitengo Cha Sheria - Sheria Kiganjani,Neema Magimba akitoa maelezo kwa mgeni rasmi namna mfumo wa Sheria Kiganjani unavyofanya kazi kwenye Maonesho ya zana za Kidigitali ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Bi. Anna Henga (kulia) akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Bi Kate Somvongsiri kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Bi Kate Somvongsiri akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Maonesho ya zana za Kidigitali ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.Wafanyakazi wa Kitengo cha Sheria Kiganjani wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: