Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na RAis Mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Namibia Mhe. Hifikepunye Pohamba wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob (kushoto) Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya kwanza wa Nchi hiyo Mhe. Sam Nujoma na Kulia na Makamu MWenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na RAis Mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Namibia Mhe. Hifikepunye Pohamba wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob (kushoto) Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: