Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia, 

Theodosia Mhulo kutoka WLAC Akifungua maadhimisho hayo katika ofisi za 
REDESO zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa wito kwa 
wana harakati na Wadau kwa ujumla kuanza kuwatumia Wanaume kama chachu 
ya mabadiliko katika vita ya ukatili wa Kijinsia nchini.

 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya REDESO, Abeid Kasazi akizungumza 

kabla ya kumakaribisha mgeni rasmi kufungua maadhimisho ya siku 16 za 
kupinga ukatili wa kijinsia Duniani kote, yaliyofanyika katika ofisi za 
Taasisi hiyo zilizopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

 Mshauri kutoka  REDESO, Brigitha  Sedekia akitoa somo juu ya ukatili wa 

kijinsia  kwa watu waliofika katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga 
ukatili wa kijinsia.

 Sehemu ya wageni waalikwa waliokuwa wamekaa Meza kuu wakati wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Duniani wakishiriki kuimba kwa 


pamoja.


 Kundi
la Muziki la Wakimbizi linalojulikana kwa jina la Bana ba Zambe wakitoa
Burudani wakati wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa 
kijinsia Duniani


 Sehemu ya wageni waalikwa walioshiriki katika Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Duniani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: