Mkuu wa Wilaya ya Monduli Iddi Hassan akizungumza katika uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji wanawake Kiuchumi ambalo lilihudhuriwa na wanawake kutoka kila kata ya Wilaya hiyo.Picha na Mahmoud Ahmad.
Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Monduli Rose Mhina akifafanua jambo katika uzinduzi wa jukwaa la Uweshaji wa Wanawake kiuchumi.Picha na Mahmoud Ahmad.
Baadhi ya Wanawake kutoka wilaya ya Monduli wakifuatilia kwa makini mkutano.Picha na Mahmoud Ahmad.
Toa Maoni Yako:
0 comments: