Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akizungumza wakati wa Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini. Picha na Muhidin Sufiani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru (katikati) akiwa meza kuu na Viongozi wa TRA na CTI wakiongoza Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini. Picha na Muhidin Sufiani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akipongezwa na Mkurugezni Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini, Leodger Tenga baada ya kumaliza kuhutubia katika Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini. Picha na Muhidin Sufiani
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: