Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika, Dkt.Tulia Ackson baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Wanansheria wa Afrika ya Mashariki Novemba 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanansheria Afrika ya Mashariki, Wakili Nassor Hamis baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Wanansheria wa Afrika ya Mashariki Novemba 25, 2016. Wapili kushoto ni Naibu Spika, Dkt.Tulia Ackson, Watatu kushoto Jaji Kiongozi, Frednand Wamabali, wanne kushoto ni Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju na kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt Harrison Mwakyembe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt, Harrison Mwakyembe (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ​baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Wanansheria wa Afrika ya Mashariki Novemba 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Mwaka wa 21 wa Chama cha Wanasheria Afika ya Mashariki kwenye ​ Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 21 wa mwaka wa Chama cha Wanansheria Afrika Mashariki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Rais wa Chama cha Wanansheria Afrika Mashariki Wakili Nassor Hamis Mohmmed (kushoto) na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt.Harrison Mwakyembe (kulia) baada ya kufungua ​Mkutano wa Mwaka wa 21 wa Chama cha Wanasheria Afrika ya Mashariki kwenye ​ Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kiwa katika picha na ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa 21 wa Wanansheria Afrika ya Mahariki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kufungua mkutano wa 21 wa Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: