Mbunifu wa Shirika la kuhudumia Viwanda vidogo Sido, Zacharia Maziku, akiwaonyesha baadhi ya vijana wajasiliamali jinsi ya kuandaa na kutengeneza Jora la Kitambaa wakati Vijana hao walipotembelea kujionea kazi na uzalishaji wa Shirika hilo jana Nov 24, 2016, wakiwa katika zaiara ya mafuzo yaliyoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la The Foundation for Civil Cociety kwa kushirikiana na Tanzania Women Chambers of Commerce (TWCC). Mafunzo hayo yanamalizika rasmi hii leo kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Picha na Mafoto Blog

Mbunifu wa Shirika la kuhudumia Viwanda vidogo Sido, Zacharia Maziku, akiwaonyesha baadhi ya vijana wajasiliamali jinsi ya kuandaa na kutengeneza Jora la Kitambaa wakati Vijana hao walipotembelea kujionea kazi na uzalishaji wa Shirika hilo jana Nov 24, 2016, wakiwa katika zaiara ya mafuzo yaliyoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la The Foundation for Civil Cociety kwa kushirikiana na Tanzania Women Chambers of Commerce (TWCC). Mafunzo hayo yanamalizika rasmi hii leo kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya vijana wakiangalia jinsi Jora linavyotengenezwa.

Meneja Uzalishaji wa Shirika la kuhudumia Viwanda vidogo Sido, Laurent Mwaisamila, akiwaonyesha baadhi ya vijana wajasiliamali jinsi ya kuandaa na kutengeneza Jora la Kitambaa wakati Vijana hao walipotembelea kujionea kazi na uzalishaji wa Shirika hilo jana Nov 24, 2016, wakiwa katika zaiara ya mafuzo yaliyoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la The Foundation for Civil Cociety kwa kushirikiana na Tanzania Women Chambers of Commerce (TWCC). Mafunzo hayo yanamalizika rasmi hii leo kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Meneja Uzalishaji wa Shirika la kuhudumia Viwanda vidogo Sido, Laurent Mwaisamila, akiwaonyesha baadhi ya vijana wajasiliamali jinsi ya kuandaa na kutengeneza Jora la Kitambaa wakati Vijana hao walipotembelea kujionea kazi na uzalishaji wa Shirika hilo jana Nov 24, 2016, wakiwa katika zaiara ya mafuzo yaliyoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la The Foundation for Civil Society kwa kushirikiana na Tanzania Women Chambers of Commerce (TWCC). Mafunzo hayo yanamalizika rasmi hii leo kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Vijana hao wakiwa katika Viwanja vya Sido baada ya kuwasili

Baadhi ya Vijana wakiangalia moja ya bidhaa zinazozalishwa katika Shirika hilo na Mwalimu wao.

Maelekezo yakiendelea.

Vijana wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya EFA Production Solutions Ombeni Selestine, wakati wakilitembelea Ofisi yake jana.

Vijana wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya EFA Production Solutions Ombeni Selestine, wakati wakilitembelea Ofisi yake jana.

Vijana wakiwa kiwandani hapo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya EFA Production wakijaza Lotion katika makopo kwa kutumia mikono tayari kwa kupaki katika maboksi na kuuzwa.

Mfanyakazi wa Sido, Jonathan akizungumza na Vijana hao wakati walipotembelea Shirika hilo kwa mafunzo.

Vijana wakizungumza na mafundi wa Daria Disgn walipotembelea Ofisi hiyo iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Daria Disgn, Daria Makaramba akizungumza na vijana hao walipotembelea Ofisi yake kwa mafunzo jana.

Vijana wakipiga picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Daria Disgn baada ya mafunzo.

Picha ya kumbukumbu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: