Bi. Victoria Mwanziva (kulia) akitoa mchango wake katika kozi maalum kwa wanawake kwa ajili ya kudumisha Amani Barani Afrika.
Baadhi ya washiriki kutoka Nchi mbalimbali Barani Afrika wakiwa na Profesa Juan Sainz Borgo (wa tano kutoka kulia) aliyetoa somo juu ya amani na ambaye ni mmoja wa viongozi wa chuo cha Amani Umoja wa Mataifa
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo hayo maalum wakiwa katika picha ya pamoja.
Bi. Victoria Mwanziva alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini Ethiopia.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: