Tunapenda kuwaomba radhi wasomaji wetu wa KAJUNASON BLOG kwa kutokuwa hewani takribani siku 4 kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyokuwa nje ya uwezo wetu.
Tunashukuru kwa uvumilivu wenu na ujumbe mbali mbali wa kututia moyo tulioupata kutoka kwenu wasomaji wetu.
Karibuni sana tuendelee kulijenga Taifa Letu kupitia blog yetu pendwa ya KAJUNASON.
Asanteni sana,
Imetolewa na
Mkurugenzi Mtendaji,
Cathbert A. Kajuna.
1.11.2016
Toa Maoni Yako:
0 comments: