
Baraka Da Prince na Nandy wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jumamosi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

Barnaba akiburudisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Arusha

Benpol akiwa na Mcheza shoo wake wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jumamosi Jijini Arusha

Mashabiki wakimshangilia Benpol.

Mkali wa Muziki wa Rhumba Christian Bella akiburudisha mashabiki wa muziki katika jukwaa la Tigo Fiesta

Darasa akionesha umahir kughani katika jukwaa la Tigo fiesta 2016.

Dogo Janja kwa style yake akitumbuiza katika Jukwaa la Tigo Fiesta 2016 Jijini Arusha

Feza Kessy akionesha umahiri wake katika jukwaa la Fiesta jijini Arusha

Jambo SQUAD

Linah naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta jijini Arusha


Mr Blue

Vanesa Mdee akiburudisha mashabiki wake katika Jukwaa la Tigo Fiesta 2016

Weusi wakishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa Jumamosi

Maelfu ya wakazi wa Arusha wakishuhuhida burudani kali toka kwa wasanii waliotumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016.
Toa Maoni Yako:
0 comments: