Baadhi ya Wasanii wa kundi la Dar Creators.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye tamasha la muziki wa asili lililopewa jina ’Marahaba Swahili Music Festival’ lililofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Biafra na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa Jiji la Dar waliopata burudani mbalimbali za muziki wa ngoma za asili na nyimbo mbalimbali zilizoimbwa (Live).
Mmoja wa Waratibu wa tamasha hilo, Karola Kinasha alieleza lengo lake ni kukuza vipaji vya wasanii chipukizi wanaoimba na kupiga vyombo mbalimbali vya muziki wa asili,na piia kuutangaza muziki wetu wa asili.
Mwenye kanga ni mwanamuziki kutoka visiwa vya Mayotte aliyepanda
jukwaani akisindikizwa na wanafunzi wa muziki wa kituo cha Music mayday
Mwanamuziki kutoka katika viziwa vya Mayotte akipiga gitaa akishirikiana na wanamuziki kutoka chuo cha muziki cha Music May Day.
Toa Maoni Yako:
0 comments: