WAKULIMA WA KOROSHO KATIKA MKOA WA RUVUMA WAKIPATA ELIMU KUPITIA
VIPEPERUSHI VILIVYO ANDALIWA NA WAKALA WA VIPIMO WAKATI WA ZOEZI LA
UTOAJI ELIMU.
MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO MKOANI MTWARA AUGUSTINE MAZIKU AKIWAONESHA
WAKULIMA WA KOROSHO, MKOANI HUMO KUSOMA KWA USAHIHI MIZANI ILIYO
HAKIKIWA NA WAKALA WA VIPIMO
ALFA MTUI AFISA VIPIMO MWANDAMIZI, AKITOA ELIMU KWA WAKULIMA WA
KOROSHO MKOANI RUVUMA NAMNA YAKUTAMBUA MIZANI ILIYO HAKIKIWA NA
KURUHUSIWA KUTUMIKA NA WAKALA WA VIPIMO.
MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO MKOANI MTWARA BWANA AUGUSTINE MAZIKU
AKIJIBU MASWALI KUTOKA KWA WAKULIMA WALIOKUWA WAMEFIKA KUPATIWA ELIMU YA
MATUMIZI SAHIHI YA MIZANI ILIYO HAKIKIWA NA WAKALA WA VIPIMO KABLA YA
MSIMU WA UNUNUZI WA KOROSHO KUANZA.
Toa Maoni Yako:
0 comments: