![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiERbkA-N0aUPejGFZ08wiMDga7pYbGhP0qNuTgJozf3z5vhagr1yPQq-So4U303TgqvsyR1TLWIFlZt0vM_KOfRCa6VALITjcVTTf_ryL4ab-3yahZqInowg5Nn52cx0e2dU4FlA1YEGs/s640/S20.jpg)
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt Juliana Palangyo akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ZESA Holding (Private) Limited Josh Chifamba baada ya kufungua mkutano 40 Southern African Power Pool (SAPP) in Dar es Salaam jana. Kushoto ni Afisa mipango wa Jumuiya ya Maendeleo nchi za Kushini Mwa Afrika (SADC) Moses Ntlamelle na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Mhandisi Declan Mhaiki.
![]() |
Toa Maoni Yako:
0 comments: