Makofi na shangwe za furaha zilisikika mara baada ya Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo kukata utepe wa kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la Shamo Tower,Mbezi beach jijini dar,hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.
 Mkurugenzi wa Universal Body Fitness Bi.Mariam Shamo wa kwanza kulia akiwa na wageni waliohudhuria ufunguzi huo.
 Sehemu ya mazoezi yakiendelea kwa wshiriki wa Universal Body Fitness
Pichani shoto ni  Mkurugenzi wa Universal Body Fitness Bi.Mariam Shamo akiwa na baadhi ya wafanyakazi,mara baada ya kufanyika uzinduzi wa kituo hucho kilicho na vifaa vya kisasa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: