Q2
Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wa taasisi hiyo wakizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam kuhusu Tamasha la Qaswida litakalofanyika Mei 25, 2015 kwenye viwanja vya Sekondari ya Benjamin Wiliam Mkapa Kariakoo.
Q1
Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa mgeni rasmi akiwa Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe. Tamasha hilo litafanyika Mei 25, 2015 kuanzia saa saba mchana, Kulia ni Sheikh Muharami Pembe na kushoto ni Ustaadhi Jumanne Gereza.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: