Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia), wakati alipowasili Kitongoji cha Mnazi Mmoja, Msoga jana kwa ajili ya kuwafariji wananchi waliokubwa na maafa kwa kuangukiwa na nyumba zao kutokana na Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi. Katika tukio hilo jumla ya watu 12 walijeruhiwa na jumla ya nyumba 128 kubomoka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji Bi. Fatuma Janga na baadhi ya majeruhi wakati alipowatembelea jana Feb 17, 2014 baada ya kuangukiwa na nyumba zao kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi kijijini hapo.
Baadhi ya familia zilizoathirika na maafa hayo...
Kijana Kulwa Madewa, aliyeumia katika tukio hilo akiuguza mguu
Baadhi ya wanahabari wakipata picha za tukio hilo....
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia), Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya Viongozi, wakati alipowasili Kitongoji cha Mnazi Mmoja, Msoga jana kwa ajili ya kuwafariji wananchi waliokubwa na maafa kwa kuangukiwa na nyumba zao kutokana na Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi. Katika tukio hilo jumla ya watu 12 walijeruhiwa na jumla ya nyumba 128 kubomoka.
Baadhi ya nyumba zilizokumbwa na tukio hilo..
Baadhi ya nyumba zilizokumbwa na tukio hilo....
Makamubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli (kulia) wakiongozwa na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (wa pili kushoto), baadhi ya Viongozi, wakati alipowasili Kitongoji cha Mnazi Mmoja, Msoga jana kwa ajili ya kuwafariji wananchi waliokubwa na maafa kwa kuangukiwa na nyumba zao kutokana na Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi. Katika tukio hilo jumla ya watu 12 walijeruhiwa na jumla ya nyumba 128 kubomoka.