Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi za kurufuka kwa kunyoosha mkono bondia Imani Daud Mapambano anaejiandaa kuzidunda na Mohamed Kibwana mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar uliopo
Tandika Maguruwe Feb 22, 2014. Picha na SUPER D BOXING NEWS.
Na Mwandishi Wetu
Bondia Imani Daud Mapambano amendelea kujifaa katika club ya Super D iliyopo Kariakoo shule ya Uhuru Dar es salaam kabla ya kukabiliana na bondia Mohamed Kibwana siku ya Feb 22 katika ukumbi wa Musoma Bar uluopo Tandika Maguruwe Dar es salaam.
Akizungumzia mandalizi ya mpambano wake Daud amejinasibu kwa kusema kuwa siku hiyo ato kuwa na msaliamtume kwa kuwa yupo fiti zaidi na ana uchu wa kucheza mchezo mzuri kwa kuwa ndio kwanza kaenda kujiandaa katika GYM mpya hivyo atopenda kuwangusha mchezo huo wa raundi nane utakaosimamiwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO chini ya Rais wake Yassin Abdallah 'Ostadhi' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya jumamosi na kucheza siku ya jumapili katika ukumbi wa musoma bar uliopo Tanduka Maguruwe.