Familia ya Marehemu Lawrence Maxi Kweka wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao Bibi Caroline Kweka kilichotokea tarehe 1 Feb 2015 Dar es Salaam. Mazishi yatafanyika Alhamisi, tarehe 5 Feb 2015 Maili Sita Moshi.
Misa ya kumuaga marehemu itafanyika Jumatano, tarehe 4 Feb 2015, kuanzia saa tano asubuhi nyumbani kwa watoto wa marehemu Bw Theophilus na Bibi Rita Mlaki (MB) wa Mikocheni, Dar es Salaam.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe milele.
Toa Maoni Yako:
0 comments: