Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.
Home
Unlabelled
WANANCHI WA MBEZI BEACH NA KAWE WAANDAMANA KUSHINIKIZA SERIKALI IJENGE MATUTA BARABARA YA BAGAMOYO ILI KUPUNGUZA AJALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: