TUNAPOONA MTU AMEANGUKA/YUPO KWENYE MAJARIBU MAZITO AMBAYO NI YA AIBU NA YA KUTATANISHA, TUMEKUWA NA TABIA YA KUSEMA WATU WA NAMNA HII VIBAYA.
TUNAWANYOSHEA VIDOLE NA KUWAONA KUWA HAWAFAI KATIKA JAMII.
TUNAONA KAMA VILE LEO HII YESU AKIRUDI MTU / WATU FULANI HAWATAENDA MBINGUNI KUTOKANA NA 1,2,3,4 WALIZOZIFANYA.
LAKINI TUNAJISAHAU KUWA HATA SISI TUNA MADHAMBI YETU, TENA MAKUBWA NA MAZITO LAKINI NI YA SIRI AMBAYO HATA NDUGU, MME,MKE, BABA, MAMA HAWAJUI.
SISI NI KINA NANI HASA MPAKA TUWE TUNAHUKUMU WATU?
JE NI WAKAMILIFU KIASI AMBACHO TUANZE KUWANYOSHEA WENZETU VIDOLE NA KUWAONA NI WATENDA DHAMBI SANA?
KWA NINI TUNAINGILIA KAZI ZA MUNGU?
HEBU TUACHE TABIA YA KUWASEMA VIBAYA WATU NA KUWANYOOSHEA VIDOLE WAKATI SISI WENYEWE MUNGU ANATUNYOOSHEA VIDOLE.
SIYO KWAMBA NATETEA ILA YESU MWENYEWE ALIWAAMBAIA MAFARISAYO "ASIYE NA DHAMBI NA ARUSHE JIWE SASA"
UNAPOONA MWENZIO ANAPITA KWENYE TANURU LA MOTO,KAA CHINI NA UJIOMBEE WEWE ILI NA WEWE YASIKUKUTE!!
IMELETWA KWENU NA ALICE NTEPA.
IMELETWA KWENU NA ALICE NTEPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments: