Sauti Sol toka nchini Kenya mwishoni mwa wiki (21/02/2015) wamepiga show ya kufufuka mtu ndani ya kiota cha burudani chanye hadhi ya kitalii Jembe Beach ndani ya party lililopewa jina la JEMBEKA, likiandaliwa na Kituo kipya cha redio jijini Mwanza Jembe FM 93.7.
Kutoka kushoto ni Willis Austin, Savara Mudigi Delvin na King Bienaime.
Mtafutano.... |
Marafiki toka mataifa mbalimbali nao walijumuika hadi kwenye mashindano ya kusakata katika jEMBEKa Party iliyofanyika mwishoni mwa wiki Jembe Beach jijini Mwanza. |
Drummer Boy...aka mkaanga chips..akiwa kikaangoni. |
Selfie ya GSengo na Keybordist wa Sauti Sol. |
Hapa msanii wa muziki wa kizazi kipya toka Mwanza Director Shahibu alikuwa akiimba wimbo aliomshirikisha mwimbaji wa JJ Band Alice. |
Wow....! |
Mbunifu wa mavazi ambaye pia ni mtengeneza mavazi Seth aka Bikira wa Kisukuma aka FUNDI (katikati) ni sehemu ya watu muhimu tukioni. |
Take two... |
Watu muhimu sana. |
Sauti Sol na mashabiki wao.... |
'PAMOJA SANA' |
Kutoka Kituo kipya cha redio jijini Mwanza Jembe FM 93.7 hii ni jEMBe Team kutoka kushoto ni Dvj Chriss Young, Dvj David, Dvj Frank, Producer Oxy, Program Master Eliud aka Dj Kagz. |
Wahabarishaji. |
PichaZzzzz....!!
|
Toa Maoni Yako:
0 comments: