Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e Salaam jana tayari kwa kukagua ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya Sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
Home
Unlabelled
PICHA YA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: