Jackson Kato ambaye ni mwana libeneke wa injilileo Blog ametimiza miaka kadhaa leo,ametoa shukrani zake za dhati kwa mablogger kote Tanzania hasa kwa juhudi na hatua ya kuanzisha mtandao wa pamoja ili kuwanganisha kwani kuundwa (Tanzania Bloggers Network) "natumaini tutashirikiana na kujua mengi".Jackson alisema..

Mengi yamefanyika leo hasa kuunganisha watu watu kwa kuwahabarisha lakini juu ya mauwaji ya walemavu wa ngozi hili Jacksoni amesisitiza kuwepo na banner kila mmoja kwenye blog yake ili kuweka msisitizo juu swala hili.

"TUMEAGIZWA UPENDO,TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO"
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: